Skip to main content alibris logo

Uongozi Na Utumishi: Mwongozo Kutoka Maandiko Matakatifu

by

Write The First Customer Review
Uongozi Na Utumishi: Mwongozo Kutoka Maandiko Matakatifu - Mgaya, Gerson
Filter Results
Shipping
Item Condition
Seller Rating
Other Options
Change Currency

Katika kitabu hiki ninaandika habari za Utumishi. Ikiwa kwa muda mrefu umetamani kutumika kwa namna Maandiko Matakatifu yanavyoeleza, basi kitabu hiki ni mwafaka kwako. Katika kitabu hiki utajifunza tofauti za kiongozi na mtumishi na kwa namna hiyo utarudishwa katika utumishi ambao kama utapenda kuufuata kama ilivyoelezwa kwenye kitabu hiki, umalizapo huduma yako, Mungu atakuambia "vema mtumishi mwema, umefanya kama nilivyokuambia."

loading
Uongozi Na Utumishi: Mwongozo Kutoka Maandiko Matakatifu 2017, Createspace Independent Publishing Platform

ISBN-13: 9781981309146

Swahili

Trade paperback