Skip to main content alibris logo

Matumizi YA Mifumo YA Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition

by , ,

Write The First Customer Review
Matumizi YA Mifumo YA Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition - Truong, Paul, and Tan Van, Tran, and Pinners, Elise
Filter Results
Shipping
Item Condition
Seller Rating
Other Options
Change Currency

Mfumo wa Vetiver unautegemea mmea wa kipekee wa kitropiki, unaoitwa nyasi Vetiver. Mmea huo umefanyiwa uchunguzi wa makini sana, kuthibitishwa na kutumiwa katika nchi 100 kwa kuhifadhi maji na udongo, uimarishaji ardhi, kudhibiti uchafuzi, kuboresha maji, kupunguza ukali wa maafa, na matumizi mengi mengineyo ya kimazingira yanayoweza kupunguza athari za kuongezeka kwa joto duniani na mabadiliko ya hali ya anga kwa siku zijazo. Kitabu hiki kina picha nyingi sana ili kutoa maelezo zaidi, kimeandikwa kwa usaidizi wa Mtandao wa ...

loading
Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition 2008, Createspace Independent Publishing Platform, North Charleston SC

ISBN-13: 9781440459979

Swahili

Trade paperback