Hiki ni kijitabu cha kusaidia kuokoa Maisha kilicho na njia rahisi ambazo kila mtu anafaa kujua ili kuboresha kinga yake. Watu wengi wamefariki au hata kuugua kwa muda mrefu kwa kukosa ujumbe huu. Kwa kuanza na njia muhimu zaidi, kitabu hiki kitaorodhesha njia zote, moja baada ya nyingine, ambazo ni rahisi kuzifuata nyumbani . Nyingi ya njia hizi za kuimarisha kinga zilisaidia wanajamii ili kuhakikisha kuwepo kwa asilimia moja pekee ya vifo wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa "Spanish flu", mwaka wa 1918. Rekodi hii ni ...
Read More
Hiki ni kijitabu cha kusaidia kuokoa Maisha kilicho na njia rahisi ambazo kila mtu anafaa kujua ili kuboresha kinga yake. Watu wengi wamefariki au hata kuugua kwa muda mrefu kwa kukosa ujumbe huu. Kwa kuanza na njia muhimu zaidi, kitabu hiki kitaorodhesha njia zote, moja baada ya nyingine, ambazo ni rahisi kuzifuata nyumbani . Nyingi ya njia hizi za kuimarisha kinga zilisaidia wanajamii ili kuhakikisha kuwepo kwa asilimia moja pekee ya vifo wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa "Spanish flu", mwaka wa 1918. Rekodi hii ni ya kipekee haswa ikizingatiwa kuwa nyingi ya hospitali kubwa zilishuhudia asilimia 30-40 ya vifo wakati wa mkasa huo. Kitabu hiki hakiangazii kupata chanjo, kuvaa barakoa, kujitenga kutoka kwa wanajamii wengine au kutokaribiana katika shughuli za umma . kinaangazia kuhusu mikakati muhimu ambayo iwapo zitatekelezwa, zitachangia pakubwa katika kuimarisha kinga yetu kibinafsi. Tukizingatia kuwa hakuna hakikisho thabithi katika maisha, ni wajibu wa kila mmoja wetu kufanya yote tuwezayo ili kuimarisha kinga zetu. Kwa njia hiyo, tutakua tumejiandaa vilivyo kuzuia virusi na viini vinavyosababisha magonjwa.
Read Less
Add this copy of Viangamizi Vya Mtanduko to cart. $2.19, very good condition, Sold by ThriftBooks-Dallas rated 5.0 out of 5 stars, ships from Dallas, TX, UNITED STATES, published 2022 by Healthwhys Lifestyle Medicine.
Add this copy of Viangamizi Vya Mtanduko to cart. $7.65, like new condition, Sold by GreatBookPrices rated 4.0 out of 5 stars, ships from Columbia, MD, UNITED STATES, published 2022 by Healthwhys Lifestyle Medicine.
Choose your shipping method in Checkout. Costs may vary based on destination.
Seller's Description:
Fine. Text in Swahili. Trade paperback (US). Glued binding. 98 p. Language: swahili-In Stock. 100% Money Back Guarantee. Brand New, Perfect Condition, allow 4-14 business days for standard shipping. To Alaska, Hawaii, U.S. protectorate, P.O. box, and APO/FPO addresses allow 4-28 business days for Standard shipping. No expedited shipping. All orders placed with expedited shipping will be cancelled. Over 3, 000, 000 happy customers.
Add this copy of Viangamizi Vya Mtanduko to cart. $12.86, new condition, Sold by GreatBookPrices rated 4.0 out of 5 stars, ships from Columbia, MD, UNITED STATES, published 2022 by Healthwhys Lifestyle Medicine.
Choose your shipping method in Checkout. Costs may vary based on destination.
Seller's Description:
New. Text in Swahili. Trade paperback (US). Glued binding. 98 p. Language: swahili-In Stock. 100% Money Back Guarantee. Brand New, Perfect Condition, allow 4-14 business days for standard shipping. To Alaska, Hawaii, U.S. protectorate, P.O. box, and APO/FPO addresses allow 4-28 business days for Standard shipping. No expedited shipping. All orders placed with expedited shipping will be cancelled. Over 3, 000, 000 happy customers.
Add this copy of Viangamizi Vya Mtanduko to cart. $12.87, new condition, Sold by Ingram Customer Returns Center rated 5.0 out of 5 stars, ships from NV, USA, published 2022 by Healthwhys Lifestyle Medicine.
Add this copy of Viangamizi Vya Mtanduko (Paperback Or Softback) to cart. $16.60, new condition, Sold by BargainBookStores rated 4.0 out of 5 stars, ships from Grand Rapids, MI, UNITED STATES, published 2022 by Healthwhys Lifestyle Medicine.